\v=26 \v~=Akaenenda katika njia zote za Yeroboamu mwana wa Nebati na katika dhambi zake, ambazo alisababisha Israeli kutenda, hivyo basi wakamkasirisha \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli kwa sanamu zao zisizofaa. \¬v \¬p