\v=14 \v~=Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli: ‘Lile gudulia la unga halitakwisha wala ile chupa ya mafuta haitakauka hadi siku ile \nd Bwana\nd* atakapoleta mvua juu ya nchi.’ ” \¬v \¬p