\p \v=22 \v~=\nd Bwana\nd* akasikia kilio cha Eliya, na roho ya kijana ikamrudia, naye akafufuka. \¬v