\p \v=24 \v~=Ndipo yule mwanamke akamwambia Eliya, “Sasa ninajua kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na kwamba neno la \nd Bwana\nd* kutoka kinywani mwako ni kweli.” \¬v \¬p \¬c