\p \v=5 \v~=Hivyo akafanya kile alichoambiwa na \nd Bwana\nd*. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko. \¬v