\v=12 \v~=Sijui ni wapi Roho wa \nd Bwana\nd* ataamua kukupeleka wakati nitakapokuacha. Kama nikienda kumwambia Ahabu na asikupate, ataniua. Hata hivyo mimi mtumishi wako nimemwabudu \nd Bwana\nd* tangu ujana wangu. \¬v