\v=13 \v~=Je, hukusikia, bwana wangu, nilifanya nini wakati Yezebeli alipokuwa akiua manabii wa \nd Bwana\nd*? Niliwaficha manabii wa \nd Bwana\nd* mia moja katika mapango mawili, hamsini katika kila moja, nami nikawapatia chakula na maji. \¬v