\p \v=18 \v~=Eliya akamjibu, “Mimi sijaitaabisha Israeli. Lakini wewe na jamaa ya baba yako ndio mnaofanya hivyo. Mmeziacha amri za \nd Bwana\nd* na mkafuata Mabaali. \¬v