\p \v=22 \v~=Kisha Eliya akawaambia, “Ni mimi peke yangu nabii wa \nd Bwana\nd* aliyebaki, lakini Baali ana manabii mia nne na hamsini. \¬v