\p \v=30 \v~=Kisha Eliya akawaambia watu wote, “Sogeeni karibu nami.” Watu wote wakamkaribia, naye akakarabati madhabahu ya \nd Bwana\nd*, ambayo ilikuwa imevunjwa. \¬v