\v=32 \v~=Kwa mawe hayo, akajenga madhabahu katika jina la \nd Bwana\nd*, na akachimba handaki kuizunguka, ukubwa wa kutosha vipimo viwili vya mbegu. \¬v