\v=37 \v~=Unijibu mimi, Ee \nd Bwana\nd*, nijibu mimi, ili watu hawa wajue kwamba wewe, Ee \nd Bwana\nd*, ndiwe Mungu, na kwamba unaigeuza mioyo yao ikurudie tena.” \¬v \¬p