\p \v=39 \v~=Wakati watu wote walipoona hili, wakaanguka kifudifudi na kulia, “\nd Bwana\nd*: yeye ndiye Mungu! \nd Bwana\nd*: yeye ndiye Mungu!” \¬v \¬p