\v=4 \v~=Wakati Yezebeli alipokuwa akiwaua manabii wa \nd Bwana\nd*, Obadia alikuwa amewachukua manabii mia moja na kuwaficha katika mapango mawili, hamsini kwenye kila moja na akawa akiwapa chakula na maji.) \¬v