\v=46 \v~=Nguvu za \nd Bwana\nd* zikamjia Eliya, naye akajikaza viuno, akakimbia mbele ya Ahabu njia yote hadi maingilio ya Yezreeli. \¬v \¬p \¬c