\v=12 \v~=Baada ya tetemeko la nchi ukaja moto, lakini \nd Bwana\nd* hakuwamo katika ule moto. Baada ya moto ikaja sauti ya utulivu ya kunongʼona. \¬v