\p \v=14 \v~=Akajibu, “Nimeona wivu mwingi kwa ajili ya \nd Bwana\nd* Mungu Mwenye Nguvu Zote. Waisraeli wamelikataa Agano lako, wamevunja madhabahu zako na kuwaua manabii wako kwa upanga. Ni mimi, mimi peke yangu, niliyebaki, nao sasa wananitafuta ili waniangamize.” \¬v \¬p