\p \v=15 \v~=\nd Bwana\nd* akamwambia, “Rudi kwa njia uliyoijia, uende kwenye Jangwa la Dameski. Wakati utakapofika huko, mtie Hazaeli mafuta awe mfalme wa Aramu\f + \fr 19:15 \ft Yaani Shamu (ambayo leo ni Syria).\f* \¬v