\v=4 \v~=lakini yeye mwenyewe akatembea mwendo wa kutwa nzima katika jangwa. Akafika kwenye mti wa mretemu, akakaa chini yake na kuomba ili afe. Akasema, “Yatosha sasa, \nd Bwana\nd*, ondoa roho yangu, kwani mimi si bora kuliko baba zangu.” \¬v