\p \v=17 \v~=Akamwambia, “Bwana wangu, wewe mwenyewe uliniapia mimi mtumishi wako kwa \nd Bwana\nd* Mungu wako kwamba: ‘Solomoni Mwanao atakuwa mfalme baada yangu na ndiye atakayeketi kwenye kiti changu cha ufalme.’ \¬v