\p \v=36 \v~=Benaya mwana wa Yehoyada akamjibu mfalme, “Amen! \nd Bwana\nd*, Mungu wa bwana wangu mfalme, na aseme vivyo hivyo. \¬v