\p \v=28 \v~=Mtu wa Mungu akaja na kumwambia mfalme wa Israeli, “Hivi ndivyo \nd Bwana\nd* asemavyo: ‘Kwa sababu Waaramu wanafikiri \nd Bwana\nd* ni Mungu wa vilimani na sio Mungu wa mabondeni, nitatia jeshi hili kubwa mkononi mwako, nawe utajua kuwa mimi ndimi \nd Bwana\nd*.’ ” \¬v \¬p