\p \v=36 \v~=Kwa hiyo yule nabii akasema, “Kwa sababu hukumtii \nd Bwana\nd*, mara tu tutakapoachana utauawa na simba.” Na baada ya yule mtu kuondoka, simba akatokea na kumuua. \¬v \¬p