\p \v=8 \v~=Wazee na watu wote wakajibu, “Usimsikilize, wala usiyakubali matakwa yake.” \¬v \¬p