\v=19 \v~=Umwambie, ‘Hivi ndivyo \nd Bwana\nd* asemavyo: Je, hujamuua mtu na kuitwaa mali yake?’ Kisha umwambie, ‘Hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd*: Mahali ambapo mbwa waliramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba damu yako, naam, yako wewe!’ ” \¬v \¬p