\p \v=3 \v~=Lakini Nabothi akamjibu, “\nd Bwana\nd* na apishe mbali kukupa wewe urithi wa baba zangu.” \¬v \¬p