\p \v=19 \v~=Mikaya akaendelea, “Kwa hiyo lisikie neno la \nd Bwana\nd*: Nilimwona \nd Bwana\nd* ameketi juu ya kiti chake cha enzi pamoja na jeshi lote la mbinguni likiwa limesimama kumzunguka upande wa kulia na wa kushoto. \¬v