\p \v=23 \v~=“Kwa hiyo sasa \nd Bwana\nd* ameweka roho ya kudanganya ndani ya vinywa vya hawa manabii wako wote. \nd Bwana\nd* ameamuru maafa kwa ajili yako.” \¬v \¬p