\p \v=48 \v~=Wakati huu Yehoshafati akaunda merikebu nyingi za biashara\f + \fr 22:48 \ft Au: za Tarshishi (ona pia \+xt 1Fal 10:22; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9\+xt*).\f* ili kwenda Ofiri kuchukua dhahabu, lakini kamwe hazikusafiri, kwa maana zilivunjika huko Esion-Geberi. \¬v