\v=24 \v~=Basi sasa, hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo, yeye ambaye ameniimarisha salama kwenye kiti cha ufalme cha Daudi baba yangu, naye amenipa ufalme wa kudumu kama alivyoahidi, Adoniya atauawa leo!” \¬v