\p \v=26 \v~=Mfalme akamwambia kuhani Abiathari, “Nenda huko Anathothi katika mashamba yako. Wewe unastahili kufa, lakini sitakuua sasa, kwa sababu ulilichukua Sanduku la \nd Bwana\nd* Mwenyezi mbele ya Daudi baba yangu na ulishiriki taabu zote za baba yangu.” \¬v