\v=27 \v~=Hivyo Solomoni akamwondoa Abiathari kwenye ukuhani wa \nd Bwana\nd*, akilitimiza neno la \nd Bwana\nd* alilokuwa amenena huko Shilo kuhusu nyumba ya Eli. \¬v \¬p