\p \v=28 \v~=Habari zilipomfikia Yoabu, ambaye alikuwa amefanya shauri baya na Adoniya, lakini sio na Absalomu, alikimbilia kwenye hema la \nd Bwana\nd* na kushika pembe za madhabahu. \¬v