\v=29 \v~=Mfalme Solomoni akaambiwa kuwa Yoabu amekimbilia kwenye hema la \nd Bwana\nd* naye alikuwa kando ya madhabahu. Basi Solomoni akamwagiza Benaya mwana wa Yehoyada: “Nenda ukamuue!” \¬v \¬p