\v=42 \v~=mfalme akamwita Shimei na kumwambia, “Je, sikukuapiza kwa \nd Bwana\nd* na kukuonya kuwa, ‘Siku utakayoondoka kwenda mahali pengine popote, uwe na hakika utakufa?’ Wakati ule uliniambia, ‘Ulilolisema ni jema. Nitatii!’ \¬v