\p \v=44 \v~=Pia mfalme akamwambia Shimei, “Unajua katika moyo wako makosa uliyomtendea baba yangu Daudi. Sasa \nd Bwana\nd* atakulipiza kwa ajili ya mabaya yako uliyotenda. \¬v