\p \v=8 \v~=“Ukumbuke, unaye Shimei mwana wa Gera, Mbenyamini kutoka Bahurimu, ambaye alinilaani kwa laana kali siku niliyokwenda Mahanaimu. Aliposhuka kunilaki huko Yordani, nilimwapia kwa \nd Bwana\nd*: ‘Sitakuua kwa upanga!’ \¬v