\v=5 \v~=\nd Bwana\nd* akamtokea Solomoni huko Gibeoni wakati wa usiku katika ndoto, naye Mungu akasema, “Omba lolote utakalo nikupe.” \¬v \¬p