\p \v=7 \v~=“Sasa, Ee \nd Bwana\nd* Mungu wangu, umemfanya mtumishi wako mfalme badala ya baba yangu Daudi. Lakini mimi ni mtoto mdogo tu, wala sijui jinsi ya kutekeleza wajibu wangu. \¬v