\v=18 \v~=Mafundi wa Solomoni, wa Hiramu na watu wa Gebali\f + \fr 5:18 \ft Yaani Bubilo, mji wa zamani sana wa Ufoinike (kama kilomita 80 kaskazini mwa Beiruti).\f* walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu. \¬v \¬p \¬c