\pm \v=3 \v~=“Unajua kwamba kwa sababu ya vita vilivyopiganwa dhidi ya baba yangu Daudi kutoka pande zote, hakuweza kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina la \nd Bwana\nd* Mungu wake, hadi \nd Bwana\nd* alipowaweka adui zake chini ya miguu yake. \¬v