\p \v=2 \v~=Hekalu hilo Mfalme Solomoni alilojenga kwa ajili ya \nd Bwana\nd* lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini,\f + \fr 6:2 \ft Dhiraa 60 ni sawa na mita 27.\f* upana wa dhiraa ishirini\f + \fr 6:2 \ft Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.\f* na kimo cha dhiraa thelathini\f + \fr 6:2 \ft Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.\f* kwenda juu. \¬v