\p \v=23 \v~=Katika Patakatifu pa Patakatifu akatengeneza makerubi wawili kwa mzeituni, kila moja likiwa na dhiraa kumi\f + \fr 6:23 \ft Dhiraa 10 ni sawa na mita 4.5.\f* kwenda juu. \¬v