\v=6 \v~=Ghorofa ya chini kabisa ilikuwa na upana wa dhiraa tano,\f + \fr 6:6 \ft Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.\f* ya kati ilikuwa dhiraa sita na ya tatu ilikuwa dhiraa saba.\f + \fr 6:6 \ft Dhiraa saba ni sawa na mita 3.15.\f* Kuzunguka ukuta wa nje wa Hekalu akapunguza ukuta pande zote ili boriti zisishikane kwenye kuta za Hekalu. \¬v \¬p