\v=10 \v~=Misingi iliwekwa kwa mawe makubwa yaliyo bora, yenye urefu wa dhiraa kumi\f + \fr 7:10 \ft Dhiraa 10 ni sawa na mita 4.5.\f* na mengine yenye urefu wa dhiraa nane\f + \fr 7:10 \ft Dhiraa nane ni sawa na mita 3.6.\f* \¬v