\p \v=15 \v~=Hiramu akasubu nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa dhiraa kumi na nane,\f + \fr 7:15 \ft Dhiraa 18 ni sawa na mita 8.1.\f* kila nguzo ikiwa na mzingo wa dhiraa kumi na mbili\f + \fr 7:15 \ft Dhiraa 12 ni sawa na mita 5.4.\f* kwa mstari. \¬v