\v=16 \v~=Pia alitengeneza mataji mawili ya shaba ya kusubu ili kuyaweka juu ya hizo nguzo; kila taji lilikuwa na kimo cha dhiraa tano\f + \fr 7:16 \ft Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.\f* kwenda juu. \¬v