\v=19 \v~=Mataji yaliyokuwa juu ya nguzo kwenye baraza, yalikuwa katika umbo la yungiyungi, kimo chake ni dhiraa nne\f + \fr 7:19 \ft Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.\f* \¬v