\v=2 \v~=Alijenga Jumba la Kifalme la Msitu wa Lebanoni, urefu wake ulikuwa dhiraa 100,\f + \fr 7:2 \ft Dhiraa 100 ni sawa na mita 45.\f* upana wake dhiraa hamsini na kimo chake dhiraa thelathini,\f + \fr 7:2 \ft Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.\f* likiwa na safu nne za nguzo za mierezi zikishikilia boriti za mierezi zilizorembwa. \¬v