\v=26 \v~=Ilikuwa na unene wa nyanda nne\f + \fr 7:26 \ft Nyanda nne ni sawa na sentimita 32. Nyanda moja ni sawa na upana wa kiganja kimoja, ambacho ni sawasawa na sentimita 8.\f* na ukingo wake ulifanana na ukingo wa kikombe, kama ua la yungiyungi iliyochanua. Iliweza kuchukua bathi 2,000.\f + \fr 7:26 \ft Bathi 2,000 ni sawa na lita 40,000.\f* \¬v \¬p